Albamu zinapakia...
Tafadhali Ingia kwenye akaunti yako ili uweze kuweka ahadi.
Tuungane mkono wapendwa kuboresha kanisa letu
Tunaomba washarika mmalizie ahadi zenu za kuongeza mabenchi kwenye kanisa letu
Wiki tutatembelea kitu cha mwane kuwaona watoto, shiriki nasi baraka hizi kwa sadaka yako ya hali na mali
Tuungane pamoja ili kumaliza deni letu la kanisa kabla ya mwaka huu kuisha.